Davis
 Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington 
DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na 
soka.
  
Edgar
 Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni 
ya DELINA, Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na
 baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza 
ambapo Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa  kufanya 
majaribio na klabu ya Chelsea ya Uingereza. Swahili TV itakuletea 
Exclusive video karibuni.
  
Kutoka
 kushoto; Juliet , Sunday Shomary, Edgar Mosha, Davis Mosha "The Boss" 
na Chief wa VOA Idhaa ya Kiswahili Dkt. Hamza Mwamoyo.
   
   
   
   
   
  
Baada ya mahojiano na kituo cha VOA msafara wa The Boss ulielekea Sequoia kwa hafla fupi .
  
Edgar na Juliet wakiwa Sequoia water front.
Picha zote na maelezo ni kutoka SwahiliTv watembelee kwa mengi mengineyo katika SwahiliTv.blogspot.com