Kaimu
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bibi Christina Sonyi akitia 
saini hati ya makabidhiano ya majengo ya Law School of Tanzania wakati 
wa shughuli ya makabidhiano ya majengo hayo iliyofanyika jana Julai 
16,2013 jijini Dar Es Salaam. Wanaoshuhudia ni Bw. Emmanuel Mayeji 
kutoka Wizara ya Katiba na Sheria (wa kwanza kulia), Mh. Jaji Gerald 
Ndika Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (wa pili 
kulia), na wa kwanza kushoto ni Bw. Aloyse P. Mushi Mkurugenzi Mtendaji 
kutoka Co-architecture.
   
Kaimu
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bibi Christina Sonyi amepokea
 hati ya makabidhiano pamoja na funguo za majengo ya Taasisi ya Mafunzo 
ya Uanasheria kwa Vitendo kutoka kwa Naibu Meneja wa Kampuni ya Beijing 
Construction Engineering Group, Bw. Zhang Chengwei iliyokuwa ikijenga 
majengo hayo na kukamikika.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana, siku ya Jumanne, Julai 16, 2013 jijini Dar es Salaam.
Anayeshuhudia katikati ni Bw. Aloyse P. Mushi, Mkurugenzi Mtendaji wa Co-Architecture.
Picha, maelezo: Farida Khalfan
Makabidhiano hayo yalifanyika jana, siku ya Jumanne, Julai 16, 2013 jijini Dar es Salaam.
Anayeshuhudia katikati ni Bw. Aloyse P. Mushi, Mkurugenzi Mtendaji wa Co-Architecture.
Picha, maelezo: Farida Khalfan