![]()  | 
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Ernie 
Brandts (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar
 es Salaam usiku wa leo akitokea kwao Uholanzi kwa mapumziko mafupi 
baada ya kumaliza msimu, tayari kuanza maandalizi ya kikosi chake kwa 
msimu mpya. Aliyemlaki kushoto ni Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh. 
 | 
![]()  | 
| Anaondoka Airport | 
![]()  | 
| Baada ya kutua, kitu cha kwanza aliwasha simu yake | 
![]()  | 
| Anafungua mlango wa gari lake apakie mizigo | 
![]()  | 
| Anafungua mlango wa nyuma apakie mizigo | 
![]()  | 
| Hahitaji msaada wa mtu, anapakia mwenyewe | 
![]()  | 
| Anafunga mlango baada ya kupakia | 
![]()  | 
| BIN ZUBEIRY anaondoka baada ya kumaliza kazi yake | 
![]()  | 
| Brandts naye anapanda gari lake | 
![]()  | 
| Anapiga stata... | 
![]()  | 
| Anaondoka Airport | 









