Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na 
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Makamu Mwenyekiti 
wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Tayaseer Khalid ambaye pia ni 
mjube wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho, alipowasili asubuhi hii, Uwanja
 wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili
 ya ziara ya Kichama, hapa nchini. Pamoja naye ni Wajumbe wa NEC wa PLO,
 
 Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na 
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akiwa na Makamu Mwenyekiti 
wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Tayaseer Khalid ambaye pia ni 
mjube wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho, alipowasili asubuhi hii, Uwanja
 wa Ndege wa Kimataifa wa Julisu Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili
 ya ziara ya Kichama, hapa nchini. Pamoja naye ni Wajumbe wa NEC wa PLO,
 Jehad Zneed na Saleh Raafat (Kushoto). Wapili kulia ni Balozi wa 
Palestina hapa nchini  Dk. Nasri Abujasir.

Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na 
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akizingumza Makamu 
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Tayaseer Khalid 
ambaye pia ni mjube wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho, kwenye Uwanja wa 
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kiongozi 
huyo anatarajiwa kuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman 
Kinana kuanzia saa 3.30 asubuhi hii, kwenye hoteli ya Protea Courtyard, 
jijini Dar es Salaam