Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akisalimiana na Rais wa China Xi jinping alipofika Ikulu ya Mjini 
Beijing Nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali wa 
Jamhuri hiyo
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akiwatambulisha Viongozi katika ujumbe aliofuatana nao kwa Rais wa
 Jamhuri ya watu wa China Xi jinping, walipofika Ikulu ya Mjini Beijing 
Nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo.

Shein,(wa nne kushoto)akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa 
China Xi Jinping,(wane kulia) katika Ikulu ya Mjini Beijing Nchini China. 
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akisalimiana na Makamo wa Rais wa China Li Yuanchao,katika makaazi
 yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa 
Kiserikali wa Nchi hiyo,
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akiwa katika  mazungumzo na  Makamo wa Rais wa China Li 
Yuanchao,katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika 
ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo,
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(wa pili kulia)akiwa katika  mazungumzo na Makamo wa Rais wa China
 Li Yuanchao,(kulia)katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa
 katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo,pamoja na ujumbe 
aliofuatana nao. 
 Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein akisalimiana na mke wa makamo wa Rais wa China Mama Li Yuanchao katika
 makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko 
wa Kiserikali wa Nchi hiyo,pamoja na ujumbe aliofuatana nao. 
  Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein akisalimiana na  makamo wa Rais wa China Mama Li Yuanchao katika