

  Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais 
wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri
 Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu 
Abdulrahman Kinana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya
 Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika 
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.

  Rais 
Jakaya Mrisho Kikwet akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya 
Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika 
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.PICHA NA IKULU.