
habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St 
Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti
 yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na 
anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa 
hospitali hapo bado unaoendelea
hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP