![]() |
| Wazee wa Kijiwe; Jamhuri kulia na Matola kushoto wakiwa nje ya Uwanja wakiangalia vijana waliojitokeza kuomba kusajiliwa Simba SC wakati wanacheza kuonyesha vipaji vyao |
![]() |
| Mchezaji wa kiungo aliyewahi kuchezea timu ya taifa ya vijana chini ya Jamhuhi Kihwelo, Samuel Ngassa naye amejitokeza kuomba nafasi Simba SC |
![]() |
| Matola akimpa taarifa muhimu Kibadeni, anayeandika |
![]() |
| Kibadeni kulia na Matola aliyeipa mgongo kamera ya BIN ZUBEIRY |
![]() |
| Tabasamu mwanana; Kibadeni akifurahia kazi mpya Simba SC |
![]() |
| Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala kulia na Meneja wa timu za vijana za Simba SC, Patrick Rweyemamu kushoto |
![]() |
| Mungu nisaidie Kibadeni anione; Mmoja wa vijana waliojitokeza kujaribu bahati zao Simba SC akisali kabla ya kuanza kwa usaili |
![]() |
| Sala inaendelea |
![]() |
| Anamalizia sala |
![]() |
| Anafunga sala
SOURSE:BIN ZUBEIRY
|










