![]()  | 
| Rais wa Venezuela Hugo Chavez amefariki dunia jana na kifo chake kuthibitishwa na makamu wa rais Nicolas Maduro | 
| Wananchi wa mtaa wa caracas wakilia kwa uchungu baada ya taarifa ya msiba wa rais Hugo ambae alikuwa kiboko ya nchi za magharibi kwa msimamo wake usio tetereka | 
