Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akikata ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti 
wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika
 ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mhe William Lukuvi.
 (PICHA NA IKULU)
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu baada ya  taarifa ya utafiti wa 
viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika 
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Kulia
 kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda’,  Kushoto kwake ni Mkurugenzi 
wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipitia baada ya kuzindua rasmi  taarifa ya 
utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 
2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Kulia
 kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na kushoto kwake ni Waziri wa 
Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi, Waziri wa Fedha Dkt William 
Mgimwa.

