 Uchaguzi wa Nchi ya kenya imeleta hali ya mtafarakano na kutoelewana 
baina ya wanasiasa wa Kenya huko Usalama wa Nchi hiyo ikiwa mashakani.
 Nchi ya kenya inayoaminika kuwa mmoja kati ya Nchi za Kiafrika 
inayosifika kwa Rushwa ambayo Mashirika ya Nchi za Magharibi inaona 
Nchi hiyo Muhimu sana upande wa Mapambano dhidi ya kile wanachokiita Vita dhidi ya 
Ugaidi. 
 
 Waziri mkuu wa 
Kenya aliyemaliza Muda wake Raila Odinga amemchukua Wakili wa George W 
Bush aliyekuwa Kiongozi aliesababisha vita katika maeneo mbalimbali  Duniani wakili Wiliam 
Burck.
Siasa ya Nchi ya Kenya unaonekana kuleta tofauti wa kisiasa huko 
Marekani ambapo wanasiasa hao wamagawanyika kwa Raila na Uhuru Kenyatta.
Habari kuhusiana na Wakili Wiliam barck imesambazwa na 
Mashirika ya habari ya Marekani ya Ap na Televisheni ya Fox9 inaonekana 
wamarekani walitaka Raila Odinga  achaguliwe na pia vyombo vya habari vya Nchi za Magharibi 
inamuunga Mkono Raila Odinga.
Nchi ya Somalia ilishindwa kutulia kutokana
 na Nchi ya Kenya na Ethiopia. Kenya ndio alikuwa mshiriki mkuu katika vita hivyo na Raila ndio alikuwa mmoja wa wasimamizi wakuu wa vita hivyo kama waziri mkuu
 
 Makabila mawili  ya Raila Odinga na
 Uhuru Kenyatta ni mahasimu wa Kisiasa na inahofiwa Nchi hiyo kutumbukia
 Mchafuko wa Kikabila na wa Kisiasa,Uchaguzi wa Mwaka 2007 Kenya 
ilitumbukia Mchafuko wa umwagikaji Damu nyingi huko watu wengi 
wakipoteza Maisha yao na wengine wakihama makwao na kuwa Wakimbizi wa 
Ndani.

Uchaguzi wa Nchi ya kenya imeleta hali ya mtafarakano na kutoelewana baina ya wanasiasa wa Kenya huko Usalama wa Nchi hiyo ikiwa mashakani.
Nchi ya kenya inayoaminika kuwa mmoja kati ya Nchi za Kiafrika inayosifika kwa Rushwa ambayo Mashirika ya Nchi za Magharibi inaona Nchi hiyo Muhimu sana upande wa Mapambano dhidi ya kile wanachokiita Vita dhidi ya Ugaidi.
Waziri mkuu wa Kenya aliyemaliza Muda wake Raila Odinga amemchukua Wakili wa George W Bush aliyekuwa Kiongozi aliesababisha vita katika maeneo mbalimbali Duniani wakili Wiliam Burck.
Siasa ya Nchi ya Kenya unaonekana kuleta tofauti wa kisiasa huko 
Marekani ambapo wanasiasa hao wamagawanyika kwa Raila na Uhuru Kenyatta.
Habari kuhusiana na Wakili Wiliam barck imesambazwa na 
Mashirika ya habari ya Marekani ya Ap na Televisheni ya Fox9 inaonekana 
wamarekani walitaka Raila Odinga  achaguliwe na pia vyombo vya habari vya Nchi za Magharibi 
inamuunga Mkono Raila Odinga.
Nchi ya Somalia ilishindwa kutulia kutokana
 na Nchi ya Kenya na Ethiopia. Kenya ndio alikuwa mshiriki mkuu katika vita hivyo na Raila ndio alikuwa mmoja wa wasimamizi wakuu wa vita hivyo kama waziri mkuu
 
Makabila mawili ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta ni mahasimu wa Kisiasa na inahofiwa Nchi hiyo kutumbukia Mchafuko wa Kikabila na wa Kisiasa,Uchaguzi wa Mwaka 2007 Kenya ilitumbukia Mchafuko wa umwagikaji Damu nyingi huko watu wengi wakipoteza Maisha yao na wengine wakihama makwao na kuwa Wakimbizi wa Ndani.