Historia
 mpya inakaribia kuandikwa duniani baada ya mwanaume ambaye anajulikana 
kwa jina Andrew Wardle, kutoka Stalybridge, Greater Manchester huko 
Uingereza ambaye alizaliwa bila uume, kufanya mpango wa 
kutengenezewa na kuwekewa kiungo hicho kwa njia ya upasuaji.
 
Mwanaume huyu ambaye kwa sasa anaumri wa miaka 39, anatarajiwa kuwa mwanaume wa kwanza kabisa duniani kufanyiwa upasuaji kama huu na ajabu zaidi ni kwamba, kiungo hiki kitatengenezwa kutoka sehemu ya mkono wake.