Mkuu wa mkoa kigoma Issa Machibya (Mwenye suti) akikagua mafunzo
kwa vitendo ya vijana wanaomaliza mafunzo ya kujitolewa ya JKT katika
kambi ya JKT Kanembwa wilayani Kibondo mkoani Kigoma
Baadhi ya vijana wanaomaliza mafunzo ya kujitolea katika kambi ya
JKT Kanembwa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakisikiliza hotuba
iliyokuwa ikitolewa na mkuu wa mkoa kigoma Issa Machibya (hayupo
pichani) wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo