Mwenyekiti wa CCm Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika 
picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM nje ya ukumbi wa White 
House,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi 
waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea
 Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi  kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela 
Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana 
CHADEMA Bi  Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa 
CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM
 Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).