Spika
 wa Bunge, Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani
 Bungeni, Tundu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya
 kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao 
cha Bunge hadi Aprili mwaka huu. (picha: Fidelis Felix)