FULL TIME AZAM 3 - 1 AL NASIR JUBA 
Dk 94 Gooool Kipre Cheche anaiandikia Azam bao la tatu 
Dk 90 zimeongozwa dakika 4 
Dk 89 wachezaji wa Al nasir wamekuwa wakijidondosha dondosha ili kupoteza muda 
Dk 80 Azam 2 - 1 Al Nasir 
Dk 81 Goooool Kipre cheche anaipatia Azam goli la pili 
Dk 80 Azam 1 - 1 Al Nasir  
DK 72 kipre cheche anapiga shuti kali kipa wa Al Nasir anatoa nje 
Dk 71 John Boco anapiga kichwa kipa wa Al Nasir anaokoa na kuwa kona 
Dk 70 Azam 1 - 1 Al Nasir  
Dk 65 Azam 1 - 1 Al Nasir azam wanapata faulo karibia na 18 
Dk 59 anatoka Abdi Kassim anaingi John Boco 
Dk 52 Azam wanakosa bao. Mpira unagonga mwamba 
Dk 48 Abdi Kasim anakosa tena goli la wazi hapa 
HT Azam 1 - 1 Al Nasir 
Kipindi cha pili kimeanza 
Dk 46 Kipa natokea goli linabaki wazi ila Mcha Hamis anapiga mpira nje 
Dk 45 Refa anaongeza dakika 3 za ziada 
Dk 44 Abdi Kassim "Babi" anakosa goli la wasi kwa kupiga mpira fyongo ndani ya 6 
Dk 43 Abraham Malik Sadik wa Al Nasir anaonywa na refa kwa kuoneshwa kadi ya njano 
Dk 38 Goooool Al Nasir wanasawazisha hapa. Jacob Osuru anawainua wasudani 
DK 37 Azam wanapata kona baada ya piga nikupige kwenye lango la Al Nasir 
Dk 30 Azam 1 - 0 Al Nasir
Dk 27 Beki wa Azam anateleza na kuipa nafasi Al Nasir ila Mwadini Ally Mwadini  okoa hatari ile 
Dk 21 Abdi Kassim Babi anakosa bao la wazi kipa anautoa mpira 
Dk 19 Simon Amanya anaonywa kwa kuoneshwa kadi ya njano. Mcha Hamis anaenda kupiga faulo na inatoka nje 
Dk 18 kipre cheche anaingia ndani ya 18 na kutoa pasi ambayo inatolewa nje na beki. Azam wamekuwa wakilisakama lango la wasudani sana 
Dk 16 Azam inafanya mabadiliko, ametoka Brian Umony ameingia Khamis Mcha.
Dk 14 Gooo...! Abdi Kasim anaipatia Azam bao la kwanza kwa kichwa akiunga krosi ya Kipre Tcheche. Azam 1-0 Al Nasir.
Dk 13 Azam 0 - 0 Al Nassir Juba 
Kikosi cha Azam FC kitakachoshuka Uwanja wa 
Taifa leo jioni kuikabili Al Nasri Juba ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa
 Kombe la Shirikisho Afrika kinaundwa na 
 
 Mwadini Ally (GK), 
Himid Mao, Malika Ndeule, David Mwantika, Jockins Atudo, Michael Bolou, 
Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Humphrey Mieno, Brian Umony, Abdi Kassim 
‘Babi’ na Tchetche Kipre.
 
 Sub: Aishi Salum, Luckson Kakolaki, Khamis Mcha ‘Vialli’,
 John Bocco, Ibrahim Mwaipopo, Jabir Aziz, Abdulhalim Humud, Seif 
Abdalah ‘Karihe’, Gaudence Mwaikimba, Seleman Uhuru na Omari Mtaki 
 
 Benchi la ufundi: Kocha Stewart Hall, msaidizi Ibrahim Shikanda, kocha 
wa makipa Idd Abubakar, Daktari Mwanandi Mwankemwa na Paul Gomez
 
 All the Best Guys!
 God Bless Azam FC, God Bless Tanzania!