
Waziri wa
 Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza 
rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.
Jumla ya 
watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni  23520 kuanzia dara 
la I hadi la IV  huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika 
mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema 
kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na 
daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule 
bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, 
Feza Boys DSM, Marian Girls Bagamoyo, na Simini ndizo zipo tano bora 
huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012