Ajali hii iliyohusisha magari mawili,Toyota Rav 4 na Toyota Cresta imetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la jirani na Maktaba
 ya mkoa, mjini Iringa,ambapo gari hiyo aina ya RAV 4  iliruka ukingo wa 
barabara  uliojengwa kwa sementi na kutua juu ya Gari hiyo aina ya 
Toyota Cresta (Taxi) na kushindwa kuendelea na safari.inasemekana kuwa 
isingesimama gari hiyo aina ya Toyota Cresta,basi dereva wa gari hiyo 
aina ya Rav 4 labda angekuwa katika wakati mgumu zaidi au kupoteza maisha
 kabisa. hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hiyo. 
(Picha na Meshack 
Maganga-Iringa)
HABARI ZAIDI INGIA HAPA
HABARI ZAIDI INGIA HAPA