Mwandishi
wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejipanga
kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa
hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].
Saeed Kubenea ameshauriwa na Dr Slaa agombee ubunge na CHADEMA itampa sapoti katika hilo na amemuhakikishia kuwa atashinda