Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa wahandisi wa kutoka China 
waliopata kandarasi ya kujenga barabara baada ya kuzindua rasmi  ujenzi 
wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya  siku nne ya mkoa wa huo 
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na 
maji.