![]()  | 
| Wananchi wa monduli wakienda kwa Mheshimiwa kusheherekea mwaka mpya | 
![]()  | 
| Hapa pilau likiandaliwa | 
![]()  | 
| Magari ya wageni mbali mbali wa sherehe hiyo. Ulinzi ukiwa umezingatiwa | 
![]()  | 
| Vijana kutoka pande mbalimbali za Tanzania walishiriki katika sherehe hiyo | 
![]()  | 
| Ulinzi ni wa kutosha kabisa | 
![]()  | 
| Wageni waalikwa wakiwa kwa kiongozi wao mpendwa Leigwanan Lowassa | 
![]()  | 
| Chifu Chege nae alialikwa | 
![]()  | 
| Laigwanan akisalimiana na kijana Kimeta wa Mpui wakati akifika kwenye sherehe | 







