HII NDIO KAMPUNI YA FILAMU INAYOMILIKIWA NA WEMA SEPETU
Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu
ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo
Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless
fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.