HATIMAYE SERIKALI YAPUNGUZA MAKATO UWANJA WA TAIFA
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (kulia) akizungumza
na Waandishi wa Habari, ofisini kwake katikati ya Jiji leo, kuhusu
kupunguza makato ya mapato ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kukubali
kulipa kodi za mishahara wa makocha wa timu ya taifa. Kulia ni Katibu
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah.
Angetile Osiah: Katibu wa TFF akisaini hati ya makubaliano hayo.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga akisaini hati ya
makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa
mapato.source bin zubeiry