Pages

Tuesday, September 4, 2012

UNAJUA KARUTA PRIMARY ILIKUWA INAITWAJE ZAMANI?

Hii ni picha ya Karuta Primary School ambayo ilijengwa hapo na wamisionari wa enzi hizo na ilikuwa ikijulikana kama Ujiji White Father Central School ikiwa na darasa la tano mpaka la nane.Na hapa ndipo aliposoma nguli wa mpira tanzania Sunday Manara Computer.