![]()  | 
| Msanii Diamond akiwasalimia watoto wa kituo hicho pamoja na kuwaimbisha nyimbo zake | 
![]()  | 
| Father Vicent Boselli akitoa maelezo ya kituo hicho kwa wasanii na viongozi wa Clouds Media | 
![]()  | 
| Baadhi ya walezi wakiwa wamebeba watoto wa kituo hicho | 
![]()  | 
| Anti Ezekiel akijitambulisha huku akiwa amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa na kituo hicho | 
![]()  | 
| Wasanii Juma Nature na Shettah wakisalimia watoto wa kituo hicho | 
![]()  | 
| Hapa wakikabidhi misaada mbalimbali | 
![]()  | 
| Baadhi ya wanafunzi wa kujitolea kutoka maeneo mbalimbali duniani wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo hicho | 
![]()  | 
| Misaada akiingizwa ndani | 








