Kumetokea vurugu leo wakati wa jioni katika mji wa Iringa mjini kati ya Polisi na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Vurugu hizi zilitokea mitaa ya Miyomboni
|
Wananchi wakishuhudia kwa mbali vurugu kati ya wanaodaiwa wafuasi wa CHADEMA na Polisi eneo la Iringa Miyomboni |