Traffic Agongwa na gari aina DCM leo akiwa kazini  mbagala rangi 3
Baada ya ajali hiyo aliwahishwa Temeke Hospital na baadae kuhamishiwa Muhimbili. 
Baada ya kufuatilia kwa ndani zaidi aliepata ajali ni WP 2806 Cpl Riziki, chanzo cha habari kinasema hali yake si  mbaya sana.
 Tunaomba radhi kwa picha hapo juu. 



   
 
  









