
Barnaba Elias 'BARNABA BOY' akiwa amezimia kwa muda mchache. 
Msanii wa kundi la Tanzania House of Talent 'THT' Barnabas Elias  maarufu 'Barnaba Boy' alifiwa na mama 
yake mzazi Bi Mariamu Arubeth  alfajiri ya Jumamosi  Nyumbani kwake Jijini Dar  es 
salaam, Mama mzazi wa msanii  huyo alifariki kutokana  na Presha. Tunawapa pole Ndugu na  Jamaa wa karibu wa  familia ya Barnaba katika  kipindi hiki kigumu cha  kumpoteza mpendwa wao ambaye alizaliwa tarehe 04-12-1967 na kufariki tarehe 22-06-2013 siku ya Jumamosi na Kuagwa pamoja na Mazishi kufanyika siku ya Jana Jumapili huko Kigogo Jijini Dar es Salaam.
Angalia picha zaidi za Msiba huo hapa chini:
 MAMA MZAZI WA DIAMOND PLATNUM AKIWASILI MSIBANI.
LAMAR
  | 
Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye  ratiba ya makaburini  kuhakikisha mipango inaenda sawa...!! | 
  | 
Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini  kuashiria ishara ya ufufuo...!! | 
  | 
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya  marehemu Mariamu Arubeth...!! | 
  | 
Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara  baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! | 
  | 
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada  ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! | 
MUNGU AILAZE  ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEM.