Gerard Pique (kulia) na Alex Song wakiwa wanapigana juu ya basi la Barcelona 
 
 
 
 
Victor Valdes (kushoto) and Alexis Sanchez (kushoto) wakiwatazama 
 
 
 
  | 
| Song akionesha ubabe | 
 
  | 
| Song akiwa tayari kurusha ngumi | 
 
 
 
 
 
 
  | 
| Song akionekana na hasira akimfokea Pique | 
 
 
 
 
 
 
 
  | 
| Hapa Song akimpa kibao | 
 
 
  | 
| Hapa ndundi zikianza | 
 
  | 
| Konde likamtoka Song | 
 
 
 
 
Huu ugomvi unaweza ukawa umetokana na bia nyingi zilizokuwepo kwenye gari hilo. Wanasiasa wa Catalonia wamelaumu kitendo hicho na kusema ni mfano mbaya kwa vijana
 
 
Carles Puyol akimkunja shati pique
 
 
 

Puyol na Valdes katikati wakijaribu kuamulia ugomvi   
 
 

Song (kushoto) alongside Sanchez (katikati) and Eric Abidal (kulia)