Leo, vyama vya siasa vya CCM na CHADEMA vimefanya mikutano ya hadhara katika maeneo tofauti nchini Tanzania.
CCM mkoani Morogoro.
CHADEMA mkoani Mwanza.
 
 
 
 
Katibu Mkuu wa CCM, 
Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa 
wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro jioni hii, ikiwa ni 
hitimisho la ziara yake ya siku nane mkoani Morogoro. (picha Bashir 
Nkoromo/CCM Blog)
 
 
 
 
 
 
Wananchi wakimshangilia mwanamuziki Diamond (picha Bashir Nkoromo/CCM Blog)
 
 
 
 
 
 
Nape Nnauye akihutubia (picha Bashir Nkoromo/CCM Blog)
 
 
 
 
 
 
Diamond akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro (picha Bashir Nkoromo/CCM Blog)
 
 
 
 
 
 
Msanii Lina akitumbuiza kwenye mkutano huo (picha Bashir Nkoromo/CCM Blog)
 
 
 
 
 
 
Wasanii Chege na Temba kutoka 
TMK Family wakishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM 
uliofanyika kwenye mjini Morogoro jioni hii (picha Bashir Nkoromo/CCM 
Blog)
 
 
 
 
 
 
Wananchi wakisikiliza viongozi wa CHADEMA wakihutubia, Mwanza (picha: Peter Msigwa)
 
 
 
 
 
 
Mbunge, Highness Kiwia akihutubia  (picha: Peter Msigwa)
 
 
 
 
 
 
Mch. Mbunge Peter Msigwa akihutubia  (picha: Peter Msigwa)