Huu ni moshi mweupe ulio onekana kwenye dohani la Sistine Chapel ikiwa ni ishara ya kuwa papa mpya amekwisha chaguliwa |
Pages
▼
Wednesday, March 13, 2013
PAPA MPYA AMEKWISHAPATIKANA
MCHUNGAJI AKAMATWA MKOANI RUKWA KWA TUHUMA YA UCHOCHEZI WA KIDINI
Mchungaji Christopher Mtikila |
Polisi mkoani Rukwa imemkamata na kumuhoji mwenyekiti wa chama cha Democtaric Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kwa tuhuma za uchochezi wa kidini baina ya wakristo na waislam.
Mtikila ambae yupo mkoani Rukwa kwa takribani wiki mbili amekamatwa baada ya kuitisha kongamano la wachungaji na viongozi wa kidini wa kikristo mjini Sumbawanga
Katika kongamano hilo Mtikila anadaiwa alihamasisha uchochezi uliokuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani
Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa Jacob Mwaruanda anadai kuwa katika kongamano hilo Mtikila aliwaambia wakristo wamekuwa wakionewa na waislam kwa muda mrefu. Na akiwahamasisha wakristo wawavaimie waislam
SOURSE: HABARI LEO
HIKI NDIO KIKOSI CHA STARS KITAKACHO IVAA MOROCCO
KIM PAULSEN |