Sheikh Nassor Alisaliwa katika Viwanja Vya Maisara na Kuzikwa kijijini kwao Donge
Kutokana na watu kuwa wengi sala ya maiti ilifanywa kwenye viwanja
vya Maisara na sio msikiti wa kikwajuni kama ilivyotangazwa hapo
mwanzo. Mwenyezi Mungu Amuweke marehemu mahala pema peponi Ameen.